1 Peter 2:21-23

21 aNinyi mliitwa kwa ajili ya haya, kwa sababu Al-Masihi naye aliteswa kwa ajili yenu, akiwaachia kielelezo, ili mzifuate nyayo zake.
22 b“Yeye hakutenda dhambi,
wala hila haikuonekana kinywani mwake.”

23 cYeye alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa, hakutishia, bali alijikabidhi kwa yeye ahukumuye kwa haki.
Copyright information for SwhKC